MKUKI NEWS MKUKI NEWS Author
Title: Tazama Hapa Video Nzima ya Wema Sepetu na Idriss Walivyohojiwa na Diva Clouds FM
Author: MKUKI NEWS
Rating 5 of 5 Des:
Idriss na Wema Sepetu Couple ya ‘Wedris’ ilipata nafasi ya kuhojiwa exclusive na mtangazaji wa Clouds Fm, Diva kwenye kipindi cha Ala Za...

Idriss na Wema Sepetu
Couple ya ‘Wedris’ ilipata nafasi ya kuhojiwa exclusive na mtangazaji wa Clouds Fm, Diva kwenye kipindi cha Ala Za Roho usiku wa Alhamisi (Jan 28), ambapo kila mmoja alifunguka mambo mengi kuhusu toka walipokutana na kuanza kupendana, kuhusu wema alivyogundua kuwa ameshika ujauzito wa Idris na mambo mengine.

Kama hukupata bahati ya kusikiliza tazama hapa sehemu ya mahojiano hayo walipokuwa studio za Clouds Fm. 

About Author

Advertisement

Next
Newer Post
Previous
This is the last post.

Post a Comment

 
Top